Gospel artiste, song writer and composer who is based in the United kingdom, Beatrice Sosipeter drops her latest single titled “VITA HII NI YA BWANA” (The Battle Is Not Yours).

Download, listen& share;

Download Now 

Lyrics: VITA HII NI YA BWANA (The Battle Is Not Yours)

Verse 1:

Ni kawaida kuwa na shida maishani, kwenye mwangaza usiogope.

Wakati mwingine unaona, mambo hayaendi, kila unachokifanya, akifanikiwi

Kama kanisani unaenda, zaka na sadaka unatoa, madikini inasaidia.

Biashara zako zimesimama, kazi umeachishwa, unajiuliza umekosea wapi?

Mungu Ee tusaidie, Ee tusaidie Baba Ooo,

Ni kawaida kuwa na shida maishani, kwenye mwangaza usiogope.

Wakati mwingine unaona, mambo hayaendi, kila unachokifanya, akifanikiwi

Kama kanisani unaenda, zaka na sadaka unatoa, madikini inasaidia.

Biashara zako zimesimama, kazi umeachishwa, unajiuliza umekosea wapi?

Mungu Ee tusaidie Eem tusaidie Baba Ee.

Chorus:

Siyo yako, ni ya Mungu,vita hii siyo yako ni ya Mungu (2x)

Vita, siyo yako siyo ya samu na nyama ni ya Baba

Siyo yako ni ya Mungu, vita hii siyo yako ni a Mungu (2x)

Vita hii siyo yako Ooo

Vita hii ni ya Baba

Muachie yeye apigane Ee

Peke yako hutaweza (3x)

Verse 2:

Hakuna maumivu unayoyapitia amabyo Yesr hayajui

Huzuni masikitiko unayoyaendea anayatambua yeye Oo

Siyo yako, ni ya Mungu,vita hii siyo yako ni ya Mungu (2x)

Vita, siyo yako siyo ya samu na nyama ni ya Baba

Siyo yako ni ya Mungu, vita hii siyo yako ni a Mungu (2x)

Vita hii siyo yako Ooo

Vita hii ni ya Baba

Muachie yeye apigane Ee

Peke yako hutaweza (3x)

Post a Comment

Previous Post Next Post